Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naangalia,naendelea na safarUko barabarani speed 120 tufanye! ghafla unaona kimbwengo kama hicho juu ya semi. View attachment 1285989
umeambiwa kibwengo live !!Hiyo picha ni orijino au ?
Asee ,kumbe kibwengo yuko hivyoumeambiwa kibwengo live !!
Hahahahanaangalia,naendelea na safar
Ukiwa unaanza safari ukiomba ufunikwe na damu ya Yesu kwenye safari yako huwezi kuona hivyo vitu...