Picha ya kibwengo live

Niliaminishwa nilipokua mdogo kwamba kibwengo ni mfupi huyo mbona mrefu?
😂Huwa wanabadilika kutokana na awamu! Awamu ya tano Sasa hapa kazi tu.. mabadiliko hayana chama😂
 
Ukiwa unaanza safari ukiomba ufunikwe na damu ya Yesu kwenye safari yako huwezi kuona hivyo vitu...
Wow! Angalia si kila mungu ni wa kuombwa. Mungu wa waoga ndiye atakuepusha usikutane nacho. Ila Mungu wetu Yehova akikukutanisha nacho ni ili ukimalizie mbali kisiendelee kufanya uovu wake kwa walio dhaifu. Hapo juu ya lory ujue kimekaa hapo ili labda kilipindue hilo semi kilete hasara kubwa pale Wami au Sekenke au Kitonga. Sasa aliyekiona alitakiwa akisambaratishe kwa Jina hilo lipitalo majina yote. Jina la Yesu Kristo wana wa Mungu aliye hai. Angemponya dere wa lory na mali zote
 
😯😯😯kibwengo mremb ivy,,kumb wanavutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…