Nilikuwa nazielewa kwa sababu kaka yangu mwaka huo 1987 alikuwa na mke wa kihindi hapo hapo Dares-Salaam alaikuwa huyo shemji yetu anatufundisha lugha ya kihindi kihindi. neno hili Daku kwa kihindi ni jambazi mtu mkatili