Picha ya kufungia mwaka!

Oyah! Mimi ni mfuasi wa chadema ila kwa hiki ninachokiona. Nimeamua kufyata mdomo nigange yangu. Kumbe wanatuchora manina zao. Andamaneni 😔☹️
 
Mkamanda wana wakati mgumu sana kipindi hiki. Wasipofanya maamuzi yao kwa busara na hekima, na wenyewe watawafuata NCCR Mageuzi na CUF.

Na vyenyewe kama vyama vikuu enzi hi,o kabla ya Chadema kuibuka! vilipotea kwenye siasa, kutokana tu na ubinafsi wa viongozi wao.
 

Umetahadharisha vizuri sana na jweli aliekuwepo miaka hiyo anajua ukubwa wa hivyo vyama. Ila hata chadema ngoja kife tu maana viongoz wake hawana msimamo full kuzurura Ikulu kwa sasa
 
LISu katisha siojambo dogo

chadema hawana jins ,LISu asiposhinda uchaguzi huu ....wanatakiwa kutafuta mgombea

Ccm uchaguzi mwakani itapata chakuongea endapo atasimamishwa kugombea urais

Ccm,dongolao litakuwa alishindwa wenyekiti wachama urais atauweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…