Kwa picha ya card, naamini huyu dogo janja katumika tu kumficha yule jamaa.Aisee bado hata mimi sijaamini
Yap yap...ni kiki hiiKwa picha ya card, naamini huyu dogo janja katumika tu kumficha yule jamaa.
Pumbafu zao
Kwani janja anaitwa yosouf piere?
huyo mzee hapo sio dogo janjaroKwani janja anaitwa yosouf piere?
Unaambiwa dogo ana mashinee ya hatariDogo si atakuwa anaogelea tu
Uwoya anampwelepeta dogo janja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo si atakuwa anaogelea tu