Picha ya leo: Hawa jamaa wana angalia nini?

Kuna mdudu mguuni kwa huyo dada ndio maana wanaangalia kwa tahadhari asije akawarukia!
 
Hadi babu anazuga anasoma gazeti.
gazeti lenyewe ameligeuza! tabu tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…