Picha ya Leo

Picha ya Leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
05_10_hfnq0v.jpg
Wazoa taka wakisukuma mkokoteni wenye taka katika barabara ya Kirumba, jijini Mwanza jana. Halmashauri ya Jiji la Mwanza imepiga hatua katika kuhakikisha mazingira yanakuwa safi katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo hali inayoleta sura ya kuvutia. (Picha na Fadhili Akida).

Je hapo Dares-Salaam Usafi tunafanya vizuri?
 
Habari ya Mwanza mkuu?
 
hm4bea7558c017a.jpg
Ya ulimwengu mengi...walahii siwezi kubisha maneno haya,Tatizo watu wala si uzushi...sijui walimfanya niniiii bwana huyuuuu.
 
hm4bea7558c017a.jpg
Ya ulimwengu mengi...walahii siwezi kubisha maneno haya,Tatizo watu wala si uzushi...sijui walimfanya niniiii bwana huyuuuu.

hahaha picha imenifurahisha sana mie ..ingekuwa wanapangisha ningeomba room moja hapo
 
Hao jamaa wanaufanya usafi kwenye jiji la mwanza wapewa vifaa vya kazi basi hili kuwalinda afya zao.
 
Hawa jamaa wa Mwanza wanajituma sana lakini hawana vitendea kazi, Kandoro wawezeshe jamaa hawa wapendezeshe jiji. Dar kwa sasa ni vurugu ya foleni tu kama leo watu wanaotumia Mandela road wanaweza kufika kazini wakati wenzao wanarudi.
 
taka wanazoa lakini afya zao zipo hatarini..........hawana vitendea kazi hawa.Labda kama maeneo ya line polisi kule Mabatini hawakufika.Manake kule kwa vijifuko vya big hawajambo
 
shall warn, the sight is not good very much for look, sorry cow. Amateur photographer Chris Geddes says that it all began peacefully. After a short walk to the zoo, where were the traditional cells and a few spacious enclosures, visitors were loaded into six buses. Began to tour the park. “On the way we saw lions and tigers, which are mostly sleeping in the shade of trees beside the road. But 20 minutes later buses formed a ring in the open field, we were joined by several jeeps employees park. There is no doubt that this event is expected, because a group of five tigers immediately appeared from the bush. “Predators immediately threw live chickens and pheasants, and they quickly got rid of them. So what happened next, was very much scary. Place feeding truck drove up and threw tigers live cow.

hm4bea7558c017a.jpg
Ya ulimwengu mengi...walahii siwezi kubisha maneno haya,Tatizo watu wala si uzushi...sijui walimfanya niniiii bwana huyuuuu.

Hwenda huyu jamaa alikuwa fisadi, kanyan'ganywa mali zake za wizi ndo kaishia hivyo na kibanda kama changu mm...apo anatoa duku duku lake kwa wabaya weke tu...ha ha ha ha ha !!!!!
 
<table style="width: 508px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top">Ni vijimambo tu</td> </tr> <tr> <td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top">
301.jpg
</td> </tr> <tr> <td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top"> Umeiona hiyo? Amini Usiamini</td></tr></tbody></table>
 
<table style="width: 508px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top">Kaumbwa na Mungu au dawa za mchina</td> </tr> <tr> <td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top">
294.jpg
</td> </tr> <tr> <td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top"> Kama ni Mungu ushukuriwe na iwapo ni mchina basi afungiwe haraka sana, mnk yatatembea makatapila mitaani..!</td></tr></tbody></table>
 
Back
Top Bottom