Mbona na wewe kuandika haujui?
hahahahahahahaha umeona ehh huyo yupo ki bifu zaidiMbona na wewe kuandika haujui?
huyu si ndio alikua mpenzi wa Rey C.?
labda anaandika huku anaendesha harrier.. msamehe tu
hahahahahahahaha umeona ehh huyo yupo ki bifu zaidi
jaman tumpongeze kwa kuendesha harrier