Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Huyu boya alifaa kung'olewa meno kwa
Hivi huyu Nyosso atawaeleza nini Wajukuu zake
Huyu Nyosso alitakiwa kufungiwa maisha. Maana alifanya kitendo cha kidhalilishaji sana, na kisicho cha kiungwana; kwa Kepteni John Bocco.Hivi huyu Nyosso atawaeleza nini Wajukuu zake
Huyu ni Bazazi kabisa,na Ubazazi unaendelea mpaka uzeeni.Huyu Nyosso alitakiwa kufungiwa maisha. Maana alifanya kitendo cha kidhalilishaji sana, na kisicho cha kiungwana; kwa Kepteni John Bocco.
Alikuwa anawajibu wapuuzi wa ufaransa
Kichwa kimejaa bangi hicho..Hivi huyu Nyosso atawaeleza nini Wajukuu zake
Tate Mkuu!Taratibu mzee mwenzangu.[emoji16][emoji16][emoji16]Huyu Nyosso alitakiwa kufungiwa maisha. Maana alifanya kitendo cha kidhalilishaji sana, na kisicho cha kiungwana; kwa Kepteni John Bocco.
Nyosso bana.
Huyo Jamaa wa Qatar hapo amekaa anamshangaa, anawaza huyu Jamaa vip?huyo kipa ni mpuuzi sana.