Picha ya Membe na Magufuli imenitoa machozi

Picha ya Membe na Magufuli imenitoa machozi

JackisonDubai

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2023
Posts
537
Reaction score
1,282
Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa.

Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.

Screenshot_20230514-154115~2.jpg
 
Dah maisha! Maadam bado una appetite ya kula kulaaa na kunywa kwenda mbele. Maadam una nguvu ya kugegeda wee tandaza miti tuuu tena kwa ustadi. Ila usionee watu, usiue na usidhulumu.

Gift of life and health ni tunu
 
Back
Top Bottom