JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,282
Kulwa Jilala,Etwege, Elitwege ame specialise kuwatukana viongozi wa Chadema ndicho anachoweza tu hapa dunianiUmesahau kumtukana lisu, lema, mnyika, msigwa, heche, mbowe na wana chadema wote hivyo habari yako haijakamilika. Andika tena na uwatukane hawa watu.
Asante
Halafu kwa akili yake anajua chadema ndiyo adui wa taifa hili kumbe maadui wapo dodoma wanakula kuku. Jamaa ana chuki mbaya na chadema sijapata kuona.Kulwa Jilala,Etwege, Elitwege ame specialise kuwatukana viongozi wa Chadema ndicho anachoweza tu hapa duniani
Kuna mmoja hapo atatangulia😂😂
Tulia weweeeKuna mmoja hapo atatangulia😂😂
Toka hapa na kizungu chako cha ugoko😂😂...Gift of life and health ni tunu
Daah mkulungwaDah maisha! Maadam bado una appetite ya kula kulaaa na kunywa kwenda mbele. Maadam una nguvu ya kugegeda wee tandaza miti tuuu tena kwa ustadi. Ila usionee watu, usiue na usidhulumu.
Gift of life and health ni tunu
Inaumiza sanaWakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa .
Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.View attachment 2623924
Hairuhusiwi kutaja majina ya watuKulwa Jilala,Etwege, Elitwege ame specialise kuwatukana viongozi wa Chadema ndicho anachoweza tu hapa duniani