Picha ya mitego ya Shamsa Ford wa bongo muvi yazua gumzo Instagram

Picha ya mitego ya Shamsa Ford wa bongo muvi yazua gumzo Instagram

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=3][/h]
[h=3][/h]
Dakika chache tu picha hii imetupiwa na msanii huyu mwigizaji wa bongo movie anaejulikana sana kwa jina la Shamsa Ford ikiwa imeandikiwa neno...... utamu mwazo mwisho...
 
utamu wenyewe uko wapi??? hizi instagram madada zetu wamezidefine tofauti,haya yetu macho
 
Sasa kama mtu ameona utamu asiseme jamani? Acheni vijana wawe vijana bwana
 
Huyo c ndio yule mdada aliejifungua hv karibun??? Au nmemfananisha?
 
Huyu mdada ni mrembo anatakiwa apunguee hayo mafutaaa maana ana mshepu balaaa
 
Kazi wanayo biashara zinabuma mitaani sasa ni kupitia inst bila shaka huk kuna mafanikio sana
 
[h=3][/h]

[h=3][/h]​
Dakika chache tu picha hii imetupiwa na msanii huyu mwigizaji wa bongo movie anaejulikana sana kwa jina la Shamsa Ford ikiwa imeandikiwa neno...... utamu mwazo mwisho...
Sawa utamu mwanzo mwisho tatizo umekuwa rojo rojo mdebwedo
 
Back
Top Bottom