Picha ya mitego ya Shamsa Ford wa bongo muvi yazua gumzo Instagram

nawasiwasi hii picha! photoshop product.
 
Inabidi apewe maana ya utamu ambao wanaume huzungumzia maana yeye hana utamu wowote. Nimefungua picha yake lakini ishu hata kustuka hamna kabisa licha ya kuonesha kila kitu chake nje. Hana utamu wowote huyu. Wenye utamu ukiona tu paja lake hata kama ni picha moyo unaruka then unasikia mashine inasimama ghafla na kusema, " Kidumu chama cha majipu; na kiendelee kudumu, kudumu"
 
Mmmm basi kama mumetegeka namna hiyo hamuwezi kumvumilia hata house girl wa nyumbani kwangu mana naamini amemuacha kwa mbali sana huyo Dada ktk picha
 
Sisi wengine wenye ukame hatuchagui tunapita naye nduki nduki. Hiyo inaitwa mfungwa hachagui gereza.
 
sasa hapo huyu Shamsa anaona amevaa nguo, si bora angekaa uchi tuu, mm hawa baadhi ya macelebribty wananiuzi, wanaharibu sifa zetu sisi wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…