Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Amin, amin.[emoji123] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Na mimi nataka! [emoji19]Amin, amin.
Shukraan hubby
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Amin, amin.
Shukraan hubby
Instagram ni magari ya washawasha kwa ajili ya chademaInstagram ndio nini!?
Naomba niibe hapo kidogo mara moja tu halafu nitakoma kukusumbua kama nilivyokoma kunyonya nyonyo ya mama yangu dear!Kaa pembeni. [emoji109] .
Hujui anachonipa my mshana. [emoji12]
Mkuu nina mpango wa kuanza kununua kwa dola nyingi tu screenshot za SMS za PM ambazo mtu mmoja ametumiwa na mwingine na matumaini yangu ni kuwa nategemea PM yako ina mambo makubwa na ya kutisha so nategemea kuwa utakuwa millionea kutokana na project hii lol![emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] love you more
[h=3][/h]
[h=3][/h]
Dakika chache tu picha hii imetupiwa na msanii huyu mwigizaji wa bongo movie anaejulikana sana kwa jina la Shamsa Ford ikiwa imeandikiwa neno...... utamu mwazo mwisho...
Samahani kama naona mikunyaji kwenye paja,au nina makengeza mimi?na pichu nyeusi?!!!utamu uko wapi pale?[h=3][/h]
[h=3][/h]
Dakika chache tu picha hii imetupiwa na msanii huyu mwigizaji wa bongo movie anaejulikana sana kwa jina la Shamsa Ford ikiwa imeandikiwa neno...... utamu mwazo mwisho...
Mamiguu yamekunjamana utadhani kitimoto poriii[h=3][/h]
Kamechisha mkuu.kwangu mimi demu akivaa Chupi nyeusi tu simzimii..