Picha ya Mpigania Uhuru Bi. Zarula Bint Abdulrahman imepatikana baada ya miaka 60 ya uhuru na yeye kufahamika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
"Mimi Bi. Zarula ni shangazi yangu aliyezaliwa tumbo moja na baba yangu.

Amenilea toka nimeacha ziwa mpaka nakuwa na akili najua yeye ndio mama yangu.

Pia nilikuwa ninafahamu wapi alikuwa akificha kadi, akija mtu wanafunga milango yote ndio anamuandikia na zilizobaki anazificha uvunguni mwa kitanda."

 
Kumbe bibi naye alikuwa msichana; ajabu viruka njia wa leo wanaringa. Hakuna jipya chini ya Jua.
 
Mbona hakuvaa hijabu?alikuwa mgalatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…