nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Huwezi amini kakabidhiwa wizara nyepesi kabisa ya tararira za kina diamond, mabantu harmonize na kina yanga na simba lakini inamsumbua. Huyu angepewa wizara kama ya mambo ya ndani au fedha na ulinzi ingekuwa hali nyingine.
Naanza kuamini kule Karagwe ile ranchi ambayo mtu fulani alisema ingekuwa sehemu yake ya kustaafu(kama kweli angestaafu) na kile kiwanda cha maziwa ilisemekana huyu jamaa ndiye msimamizi mkuu.
Insikitisha sana kuwa na wasimamizi wa serikali kama hawa WHAT A SHAME, ULITUMWA AU ULIWASAIDIA UTOPOLO?
COME CLEAN