nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
ukitaka uamini amri ilitoka ikulu andika kumlaumu Rais samia kuhusu usenge wa jana dakika tano ianfutwa yaani ni aibu san asikudhani yule mama ana akili za ajabu kama alichofanya janayanga hutowaona hapa,ikiwemo mimi...ahahaha
ukitaka uamini amri ilitoka ikulu andika kumlaumu Rais samia kuhusu usenge wa jana dakika tano ianfutwa yaani ni aibu san asikudhani yule mama ana akili za ajabu kama alichofanya jana
mara ya mwisho kumwagiwa maji ya nazi mpalangeni kwako ni lini mkuu?maaana umerithi tabia za marehemu bibi yako aliyekuwa mdangaji maarufu enzi zileMwenye akili za ajabu ni huyo aliyekubeba wewe tumboni kwake miezi 9 kitu cha hovyo akakizaa halafu hajakitupa chooni.
Hivi jana Yanga walisusia mechi? Kwa hiyo Simba atapewa pointi 3 za dezo na Yanga kushushwa madaraja 2 kama kama kanuni zinavyosema?!Yanga ni Drama Queens tu, Hakukua na sababu za kususia mechi, Walikimbia Kipigo, yawezekana kabisa ni maelekezo kutoka kwa Mganga wao wa Jadi
ina maana kuna wapuuzi walikuwa wanAzindua kitabu either wakataka tuhangaike kufaTIia ujinga wao au walitaka kwenda uwanjaNI kuangalia mechi wakaamua kuahirisha mechi INATIA HASIRA SANAWa kulaumiwa ni TFF ambayo inaongozwa na Wallace Karia ambaye ni mwanachama mtiifu wa Simba.Kwa nini wapewe maelekezo na wizara ambayo ni kinyume na kanuni za ligi na wao wakakubali tu kama mazuzu? Walishindwa nini kumjibu aliyetoa maelekezo kwamba FIFA inakataza serikali kuingilia mambo ya mpira?
ukitaka uamini amri ilitoka ikulu andika kumlaumu Rais samia kuhusu usenge wa jana dakika tano ianfutwa yaani ni aibu san asikudhani yule mama ana akili za ajabu kama alichofanya jana
Tafrsi ya neno kukimbia ni ipi?Yanga ni Drama Queens tu, Hakukua na sababu za kususia mechi, Walikimbia Kipigo, yawezekana kabisa ni maelekezo kutoka kwa Mganga wao wa Jadi
siyoo kweli huwezi amini sjiwahi kuwa mshabiki wa magufuli lakini angekuwa hai jana angeshaondoka na vichwa kama huyo mama hana mkono wake mbona kakausha kimya ikulu ndo kwanza anagawa mabenzi na manyumba kwa wastaafu dah huyu mama mwisho wake siuulewi siyo kama tunavyomuonaIkulu wana mambo mengi ya kufanya usiwasingizie bhana.
Aliyeahirisha mechi umeoneshwa picha yake na upo uwezekano ni mpango kamili uliosukwa ili kuwapa yanga sababu za kuwakimbia simba
sikuwahi kudhani ninge miss magufuli ndo kwanza muhusika leo anagawa nyumba ya kifahari kwa kikwete na jana jana kagwa benzi la milioni 400 wakahairisgha mechi li tuone UFAHATRI wanaturingishia dah,mtu yuko ikulu kakausha kimyaaaaaHuyu hata Young Africans hatumtambui