Kosa lake nn Sasa huyo bumbuli?
Hivi jana Yanga walisusia mechi? Kwa hiyo Simba atapewa pointi 3 za dezo na Yanga kushushwa madaraja 2 kama kama kanuni zinavyosema?!
Una wivu wa kikesikuwahi kudhani ninge miss magufuli ndo kwanza muhusika leo anagawa nyumba ya kifahari kwa kikwete na jana jana kagwa benzi la milioni 400 wakahairisgha mechi li tuone UFAHATRI wanaturingishia dah,mtu yuko ikulu kakausha kimyaaaaa
Watatoa wapa aje points team haikuingia na waamuzi? muwe mnasoma kanuni kwanza kabla hauja toa maoniTFF kama hawatotoa point kwa simba itakua ni udhaifu tu kwao, Lakini wanatakiwa wawape
Watu mna jazba! duh!Huyu hata Young Africans hatumtambu
Mikia fc mbona kelele nyingi,aliyekimbia uwanja ni nani.Yanga ni Drama Queens tu, Hakukua na sababu za kususia mechi, Walikimbia Kipigo, yawezekana kabisa ni maelekezo kutoka kwa Mganga wao wa Jadi
Watu mna jazba! duh!Huyu hata Young Africans hatumtambu
Kwanini mlimpa jezi na vipaza sauti tena viwili kuchangisha pesaHuyu hata Young Africans hatumtambui
Mbona mmepanik San utopolo.utopolo maana yake ni kitu kilicholegea.Yani mmekimbia kipigo.mara ya mwisho kumwagiwa maji ya nazi mpalangeni kwako ni lini mkuu?maaana umerithi tabia za marehemu bibi yako aliyekuwa mdangaji maarufu enzi zile