Picha ya Nay wa Mitego akiwa na msichana uchi kitandani yazua mjadala

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=3][/h]


kama mnavyoona wakuu,wengine wanasema ni udhalilishaji wengine wanasema poa tu,sijui nyie mnasemaje,je ndio kiwango cha usanii kinakua hivyo?
 
tuliwaona watu kama hao...walikuja na kupotea kama harufu ya ushuzi.
so its a matter of tym
 
ni udhalilishaji ingekuwa mwanae au dada yake kapigwa picha ya hivyo angejisikiaje
 
Ukiona hivyo jua yupo njiani kuachia wimbo mpya.
 
Wapo kwenye project ya video shooting ya wimbo mpya. Hakuna tatizo hapo
 
Kavalishwa thong, wakati mwenzake mjanja kavaa bukta!.
 
Walikuwa wanashuti tangazo
 
Wabongo kwa wivu hamjambo. Dangote na Zari wakionekana sehemu kama hizo mnakuja na masifa ushuzi yenu ooh mtoto mzuri, mara ooh dangote anakula mbunye kali... wakifanya akina wamitego mnakuja na visebengo vyenu kumkandia..
Binafsi huwa simpendi Ney lakini haiwezi kuwa sababu ya kumkandia kwa picha kama hizi wakati najua ni msanii. Bshaka yupo location ana shoot... ajabu nini???? Wabongo kila kitu siasa... mnawaza kimasaburisaburi.
 
ni udhalilishaji ingekuwa mwanae au dada yake kapigwa picha ya hivyo angejisikiaje

Na huyo bi dada ingekuwa ni kaka yake au mjomba wake ndiyo kapigwa hiyo picha angejisikiaje? Kwa kuwa sijapata maelezo yoyote kuhusiana na mazingira yaliyopelekea hiyo picha kutufikia basi siwezi kuchangia lolote. Huenda ni huyo dada ndiye aliyeivujisha ili kujipatia umaarufu, ukilikataa hili basi inabidi upate tuition kuhusu wadada hawa wa mjini!
 
Hiyo Ni Video Project Ya Ngoma Mpya Na Huyo Dada Kalipwa Hela
 

Ndio hivyo mkuu kunya anye kuku akinya bata..........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…