Picha ya 'Pacha' wa Ally kiba

Joined
Mar 16, 2015
Posts
75
Reaction score
28
asante sana masanja mkandamizaji kwa kutuonyesha... Mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza namfananisha na nani ... Kweli duniani wawili wawili
 
Haters hua hatukosi jambo ili kujifariji ili ilietuzidi tumuone wakawaida ukiona unachuki kwa kiwango kama hiki jua umaskini uko mlangoni kwako.
Mawazo mgando ni ugonjwa ambao WHO hawajauweka kwenye orodha ni mbaya kama kansa....BTW no hard feelings.
 
Hater...!!!
 
Kwahyo wamefanana au hawajafanana
 
Haters hua hatukosi jambo ili kujifariji ili ilietuzidi tumuone wakawaida ukiona unachuki kwa kiwango kama hiki jua umaskini uko mlangoni kwako.
Mawazo mgando ni ugonjwa ambao WHO hawajauweka kwenye orodha ni mbaya kama kansa....BTW no hard feelings.
unamaindi nini sasa? wote si mastaa? tena N!xau ni internationally known
 
Huyo jamaa si nilisikia amekufa tena kimaskini sana ila kawatengenezea pesa ndefu wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…