Picha ya Prezzo akimpiga busu la huba Vera Sidika yazua utata

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Kama wote tunavyofahamu, curvaceous Vera Sidika alikuwa msichana kiongozai katika video kali mpya ya Prezzo ‘My Gal ‘ ambayo ipo katika albamu yake ijayo ‘Rapcellency.

Hii ni licha ya ukweli kwamba Huddah alikuwa mpenzi wa Prezzo wa zamani na ni Nemesis wa Vera Sidika . Hata hivyo Vera amepost hii picha ya Prezzo akimpa busu kali mwanana dada huyo anaye sumbua vibaya. na kuzua maneno ya kuwa Prezzo na Vera ni wapenzi kwa sasa. Prezzo na Vera wamekuwa na ukaribu ambao si wa kawaida na kila waulizwapo kuwa ni wapenzi wamekuwa wakipinga hilo swala na kusema wao ni marafiki tu.

Yetu macho
 
prezzo prezzo prezzooo.... this guy.
 
Pacha wake na Domo hawana tofaut kabisa ktk ulimwengu wa totoz
 
Inabidi waandaliwe pambano Prezoo na Diamond toune nani kajaza Abood la totoz.
 
Jamaa anafaida vi2 vizuri domo yeye anapambana na vikongwe we2

Haaaaahaaa tatizo hapa kwetu binti akiwa maarufu anadumu nuda mfupi alafu anakua chuma chakavu ivyo kijana anakuta TID,blue nk washapita.
 
Prezo anajimegea vibinti vikali mpka za bure ila domo anahonga wazee sugu, ndio mana nyumba haimaliziki imechukua muda kma daraja la mkapa

haa aa haa kama daraja la mkapa duuuh....hiv lilichukua muda gani kujengwa? halafu si nasikiaga eti domo ana mijengo kibao tu au uzushi tu?
 
Prezo anajimegea vibinti vikali mpka za bure ila domo anahonga wazee sugu, ndio mana nyumba haimaliziki imechukua muda kma daraja la mkapa

Kuna mdada mmoja mkenya aliwai kuniambia jamaa anasambaza ngoma .
Anamega na kusepa kwa wote wanaoshoboka
 
wenzake wanauza sura forbes yeye kwenye mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…