Picha ya SEX imeniletea balaaaaa!

itupe/iweke mahali pa siri. mwenzio anadhani bado unafeelings kwa huyo mtu ndio maana ukaitunza pic, get rid of it and apologize.
 
Nadhani Mandingo na Cherokee kama wako jamvini watakusaidia kwenye hili
 
Nimekuwa papito tena? inabidi nikutafute tupige erotica photo ....
 
wajameni mbona mnanijudge ushauri hamnipi? au wote

ni watoto wadogo haya mambo hamjaona katika jamii?

usijali, sasa hivi si ana jifanya hataki kukutafuna, chakufanya mwambie leo una taka umpe! Najua atakubali na hapo utapata chance ya kuomba msamaha huku unampa zaidi ya yule kwenye picha. Hawezi kuchomoka hapo lazima akusamehe.
 
Erotica me thought kuwa ni mshauri wako, haya sasa unamwaga majanga hapa unaishia kutukanwa.....you should have told me first....tell that bway to chill kama mapema hivi anaanza wehuka na picha moko je akiona album nzima itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Wapotezea watu muda wako kazini, mara babu wa loliondo, ...... Mgomo wa walimu upotezewe.
 
wajameni mbona mnanijudge ushauri hamnipi? au wote

ni watoto wadogo haya mambo hamjaona katika jamii?

utoto ni pamoja na kutojitambua kuwa wewe ni mtoto (toddler brain).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…