Picha ya SEX imeniletea balaaaaa!



Ahsante sana Kaunga,

Nami pia nimefurahi kukuona tena jamvini...!

Unajua wanaume wengi hawatamani kusikia habari za wanamume wengine wanapokuwa na wapenzi wao... Sasa huyu dada haji na story tu bali hata picha......Mie sijui ningefanyaje ila ni jambo ambalo nisingetamani litokee mbele ya macho yangu!!


Ila kama huyu BF mpya hatajali....basi dada amupe vitu vya nguvu zaidi ili kumwondolea shaka kwamba akili na rasilimali haziko kwa old owner!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Akaungane na mwanakijiji kutoa kitabu kijacho maana
yuko vizuri
 
ndo maana unaipenda hiyo picha maana mgongo wa jamaa unaonesha kwamba hatanii si ajabu uliondoka na pichu mkononi.au ilibidi baadae ujikande mashavuni.
 

Nilikuwa nahisia kuwa wewe utakuwa mtata kutokana na username yako EROTICA.

 
Dada una roho ngumu kama jiwe; wanaume wamechukia we bado umo kuwajibu usipoangalia utakosa mume!!!
 

Basi come this way papito..... mwaaaaaaaah.
 
:biggrin1: kumbuka louise lane alikua sio tu anafly'ishwa bali superman alikuaga anamtongoza wakati wako angani sa sijui ka superman wa JF ana huo uwezo


ww wa mjini, supamani ni supamani tu. na hio ziada ndio mpango mzima. teh teh teh
 


papito pesa nategemea kwake. bac ngoja nichome picha.
 
Erotica ulipotea sana humu au ndo bedrest and PC rest?lol! About that pic mwambie huyo shemeji acool down afterall atakula mema ya nchi zaidi ya huyo wa kwenye pic mda ukifika..


asante mamito purple, nitajarib hivo. mwaaaaaah.
 
Dada una roho ngumu kama jiwe; wanaume wamechukia we bado umo kuwajibu usipoangalia utakosa mume!!!


unafikir roho yangu hata inashtuka bac? hawa c wanafiki tu wanaoniwakia.

hao hao nikikutana nao kitaa ndio wa kwanza kunitongoza. wengine hapa hpa kwa pm.

wacha wajifanye watakatifu, labda kuna wapenzi wao humu wapo kuwadanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…