Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
MKUU HIYO PICHA INASEMEKANA NI JAMAA ALIKUWA JELA NA AKAPEWA ADHABU YA KUTOKULA,MKEWE SIJUI MWANAE ALIKUWA ANAKWENDA JELA NA KUMPA ZIWA ANYONYE KWA SIRI BILA ASKARI KUTAMBUA,PICHA KAMILI MWANAMKE HUWA AMEBEBA MTOTO KWA PEMBENI
Daah kumbe hayo maziwa yanaweza kumfanya mwanaume ashibe, vp hapa Bongo wanaonyonya ni kwa ajili ya njaa au nnhii ni stori moja kuwa binti alikuwa akimtembelea baba yake jela ambako alitakiwa afe kwa njaa , binti akawa anamnyonyesha mzee mpaka wakaamua kumuachia maana waliona hafi, ujumbe kwenye suala la kuokoa maisha ya watu hakuna suala la dhambi wala kinyaa, tenda wema na hii ndio ile kitu inaitwa upendo wa kweli
Kama yale aliyokukataza Baba😁😁😁Mungu bariki sana Baba Bushmammy🤗🤗🤗Matusi
Vepe wewe una nyonyaLakini kwa mtu mzima kunyonya maziwa mpaka kushiba inaitajika unyonye sana.
💯hii ni stori moja kuwa binti alikuwa akimtembelea baba yake jela ambako alitakiwa afe kwa njaa , binti akawa anamnyonyesha mzee mpaka wakaamua kumuachia maana waliona hafi, ujumbe kwenye suala la kuokoa maisha ya watu hakuna suala la dhambi wala kinyaa, tenda wema na hii ndio ile kitu inaitwa upendo wa kweli
Umenikumbusha story ya jamaa mmoja yaliyomkuta baada ya kutumia mkongo halafu manzi hakutokea ghettohii ni stori moja kuwa binti alikuwa akimtembelea baba yake jela ambako alitakiwa afe kwa njaa , binti akawa anamnyonyesha mzee mpaka wakaamua kumuachia maana waliona hafi, ujumbe kwenye suala la kuokoa maisha ya watu hakuna suala la dhambi wala kinyaa, tenda wema na hii ndio ile kitu inaitwa upendo wa kweli
Sio kweli cheki huyo Mzee kafungwa minyororo miguuni hivo yupo gelezani.Hapo Binti anamnyonyesha babake asife njaa.Ukicheki vzr hiyo picha Binti yupo makini kwa taadhali kubwaMimi kila siku ninapoona na kusikia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania kuwa wanaume waonywa kuwa wasinyonye maziwa ya wake zao ambayo ni chakula cha watoto basi nilikuwa nafikiri kuwa huu ujinga upo hapa Tanzania tu kumbe upo tokea enzi za utawala wa Roma.
View attachment 1890427
Shukrani mkuu kwa kunielewesha.Sio kweli cheki huyo Mzee kafungwa minyororo miguuni hivo yupo gelezani.Hapo Binti anamnyonyesha babake asife njaa.Ukicheki vzr hiyo picha Binti yupo makini kwa taadhali kubwa
Hivi Kuna watu huwa wanafyonza maziwa wanakunywa kabisa?[emoji38]usifyonze maziwa ya mtoto, chezea chuchu na ulimi inatosha.
Anaitwa Jack Danielhii ni stori moja kuwa binti alikuwa akimtembelea baba yake jela ambako alitakiwa afe kwa njaa , binti akawa anamnyonyesha mzee mpaka wakaamua kumuachia maana waliona hafi, ujumbe kwenye suala la kuokoa maisha ya watu hakuna suala la dhambi wala kinyaa, tenda wema na hii ndio ile kitu inaitwa upendo wa kweli
Ila waroma walitisha jamani na hizi sculpturesMimi kila siku ninapoona na kusikia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania kuwa wanaume waonywa kuwa wasinyonye maziwa ya wake zao ambayo ni chakula cha watoto basi nilikuwa nafikiri kuwa huu ujinga upo hapa Tanzania tu kumbe upo tokea enzi za utawala wa Roma.
View attachment 1890427