Picha ya siku: Kumbukizi ya utawala wa Kidikteta Tanzania

Picha ya siku: Kumbukizi ya utawala wa Kidikteta Tanzania

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Mabounsa wakimzuia Devota Minja(Chadema) kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020.

Kwa haya Tanzania ni Taifa la aibu na laana.
QC2Sb.jpg
 
Utakuta huyo anakinga mkono ndiye mme wake YEHODAYA wa jamiiforum.
 
Mabounsa wakimzuia Devota Minja(Chadema) kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020.

Kwa haya Tanzania ni Taifa la aibu na laana.
View attachment 1922274
Ccm mnaondoka madarakani 2025, imekua na ndivyo ilivyo ,ukatae kisa una dola au nini utajua mwenyewe 2025 out,mnaondoka jua hilo , na tunza hii, asema BWANA wangu
 
Back
Top Bottom