Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mi5 tena!Mabounsa wakimzuia Devota Minja kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020.
View attachment 1922001
🤣🤣🤣Mingine inambashia na kumbashia ona hilo lenye midevu lililopo nyuma yake
Ccm mnaondoka madarakani 2025, imekua na ndivyo ilivyo ,ukatae kisa una dola au nini utajua mwenyewe 2025 out,mnaondoka jua hilo , na tunza hii, asema BWANA wanguMabounsa wakimzuia Devota Minja(Chadema) kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020.
Kwa haya Tanzania ni Taifa la aibu na laana.
View attachment 1922274