Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

Weka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,

Mmelishwa matango pori na kuaminishwa na mzungu kua magaidi ni watu wa aina fulani tu au wa dini fulani tu,ugaidi upo wa aina nyingi na sio kila gaidi hujiweka wazi.
 

Kwani Mbowe ni swala tano !.
 
Sijaona palipotajwa dini ya mtu hapo.
 
Sio kila mauaji ni ugaidi. Kwani hujui definition ya ugaidi
 
Sio kila mauaji ni ugaidi. Kwani hujui definition ya ugaidi
Naona unataka kujaribu kukipulizia kinyesi manukato,najua maana ya ugaidi usifikiri nimekurupuka,au wewe unadhani ugaidi ni kujifunga kilemba na kufuga ndevu?
 
kunywa kwanza maji mkuu utatapika nyongo
 
eka na picha za magaidi wanaoua wanawake na watoto huko Palestina,weka picha za magaidi walioua watu huko Iraq,Afghanistan,Libya,Syria na kwingineko,weka picha ya yule nesi mzungu aliyewachoma sindano ya ukimwi watoto wadogo huko Libya,
Naunga mkono hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…