Lizzy kwanini zisiruhusiwe? au kwakuwa zimepostiwa na Shossi mbona Yo Yo aliposti kama hizi hapa https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/36727-mpigie-kura-teddy-kalonga-spike-tv-3.html
Well angalau yeye hakua ndumi la kuwili...anapenda ndio maana anashea na wenzake!We unajifanya kuponda kumbe unachekelea!Kumtangaza unakua kuwadi wake!Au ndo janja yenu kupata publicity!
Alaa niPM namba yake plz.......
Utaahira huu!!!!!!!!!!!!!
yupo ofisini kwake, mwacheni achape kazi kwa juhudi na maarifa.
Kwa taarifa tk ni born again christian, mwacheni mungu aitwe mungu kwani humpa kila mmoja kwa njia yake.
Jamani is so true nimesikia from reliable source kuwa ni mlokole and for your info also married woman. Sijui ni maadili gani anafundisha jamii ya kupose uchi in public.
nafikiri ilikuwa kabla hajaokoka:rain:
Mie simo maana nilishukiwa kama mie ndo niliesema kuwa TK ni born again christian.............
ushaona wapi maneno yakachoma nyumba:wink2:
Sijaona ila nashangaa kuna mtu ananichukia bila sababu angekuwa mwanaume ningesema tunamgombea Nilham kweli kuishi na watu wa humu JF inahitaji moyo wa paka la sivyo unaweza ukanywa sumu.................
Mama nipe radhi kuishi na watu kazi,kila nisemalo wananiona mbaya ila huu wimbo nimeushau mwanangu uzee huu:wink2:
wengi wa wadada wanaoenda ulaya,u.s.a na kwingineko ambao hawana kazi maalum ya kufanya hizi ndo kazi zaoHivi wadau huyu mdada ni mbongo? maana duh yaani si amini kama wabongo wanaweza kupiga picha kama hii, haijakaa njema kabisa maana nimeona samaki basi paka akalia nyauuuuuuu..........
Teddy Kalonga aka TK for the Ultimate Spike Girl 2009.
19 Aug 09
Hey Guys
Just wanted to let you know one of my fab girls , Teddy aka TK of Total Knockout blog is competing for the Spike TV; Ultimate Spike Girl of the year. TK made to top 15 and now she needs your votes to win the title. So I am asking you fashionistas to vote for her by clicking here .
About TK:Teddy is an accomplished cartoonist and artist, even creating her own graphic novel about a woman with superhero-like powers. The character is based on her own life and is a strong, sexy woman who likes to kick ass and save the world. Teddy is originally from Tanzania, Africa. The 28-year-old recently moved to the United States to pursue a career in the entertainment industryt.
Click here to read more about her and to check out her vedio clip and more photos.
Vote for Teddy Kalonga
She looks Gorgeuos!! Go vote for her.
acha maneno machafu weweBinti kaamua kuuvua utu..fedha kweli mwanaharamu
enzi za bibi zetu maisha yalipokuwa ya tabu walipika vitumbua na maandazi lakini siku zimebadilika sikuhizi dada zetu wanauza maandazi na "vitumbua" vyengine.......
Tusalimie uendako......................ha ha ha haaaaaaa mie napita tu