Picha ya Trump aliyoichukia zaidi mwenyewe

Sasa wewe unatakaje na Ili iweje sasa wee Kobaz mwandamizi.

Maarassmbusii
Awe kama Mwamba Putin hana kuropoka hovyo pamoja na vijembe .

Kwenye simu nimejaza press za Trump na h9tuba zake kama vichekesho jamaa anawachamba mpaka waandishi wa habari kwenye press

Hotuba yake UN ilikuwa full vichambo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…