Picha ya Wema na Martin Kadinda wakiepeana mabusu nje nje yazua utata

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda katika pozi tata.

PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja.
Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema, alipopatikana alijibu:
“Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni Diamond.”

 
sijaona kitu cha kushtua apo.. kawaida san.
 
MONEY sturna umeanza kuchuja eeh! Warumi yuko anakuja kasi sana
 
Last edited by a moderator:
Afu Money Stunna niliona wiki hii "MY SHOES"uyo kadinda akitandikana ngumi na mmoja wao katika show yao nilikuta mwishoni
In brief unaweza ukatupia video au ilikuweje nimechiki YouTube sijaiona
 
Last edited by a moderator:
Alikua ameshikana na Petiti man kisa kuna pesa walikulaa
 
Alikua ameshikana na Petiti man kisa kuna pesa walikulaa

Ok nimekusoma
Wanagombania hela namashaka nahawa watu
 
Aiseee huyu mwanamke siku si nyingi atalazwa kwa kuchanganyikiwa
 
Mmmmmm uo uongo tangulini ulimwona martin KADINDA????


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…