maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Kwa nini waziri hakupata gwanda ?Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
Hongera wewe uliye timamu ingawaje nina mashaka ikiwa ni timamu kweli.Wewe una tatizo kuliko Mama Tax. Unahitaji daktari wa afya ya akili
Mbele na nyuma hazinatofauti!Bila kuwa na D mbili huwezi kuelewa, mleta mada alichomaanisha.
Muwe na Jumapili njema na tulivu.π
binocular ni kifaa cha kizamaani sana yaani miaka ya 1800 huko!
gawaNyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
Vilaza wengi wako uko, katika nchi za dunia ya kwanza kwenye Post kubwa kama hiyo security ya nchi lazima atakuwa technical know how, siyo kuweka kilaza asiyejua abcd ya security system.Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
π€£Anachokiona mheshimiwa ndio jinsi watawala wanavyoona maisha ya wananchi.
Aiseee si mchezo katokelezeaa ππ