Picha ya wiki

Nilijua hata ni Trump kumbe bado bongo lala mnajadili michezo
 
Huyo Trump Anamsaidia Nini Bibiako huko Sigimbi
Tunaishi kwa hisani ya wazungu, bila wao hawa unaowapigia kura wangetumaliza kwa utekaji, mauaji, njaa na maradhi.
Marekani imejitoa WHO sasa utaona kama dawa za kupoza ukimwi na kifua kikuu zitapatikana. Kuna wakati watanzania wote tulilishwa na wamarekani na shule zote zililishwa na wamarekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…