Haifutiki ile ya 6-0, hata kama Jumamosi yanga itashinda. Ni kama vile 5-0 za mnyama, hazitafutika
Hakuna haja ya kuiombea Yanga njaa. Yanga haijawahi kupiga hatua kubwa katika michuano ya Africa. Mfadhili amechoka na hatagombea tena! Michuano ya Afrika ina raha unapoingia walau robo fainali kwani kuna mgao fulani unatoka CAF, vinginevyo ni hasara kushiriki raundi ya awali, ya kwanza na kuishia 16 bora. Mpira ni biashara, usione watu wanauza wachezaji ukadhani hawana akili. siku anayetoa hela bure atakapochoka ndipo watu watatia akili, na ndipo watakapojua kwamba unatakiwa ushiriki michuano ya Africa hadi walau robo fainali ili uanze kurudisha fedha yakoManeno ya wakosaji? (mkia) naona mnatuombea njaaa. hahaaaa
Mkuu hivi kwa mazoezi hayo mtamtoa mwarabu kweli?
Au mnadhani mnaenda kupambana na abajalo ya sinza?
Yani hawa mcc wanapiga mpira mkubwa sana leo.Tatizo ni hiyo minoti ya muhindi waliyopewa jana jioni ili wasiifunge Yanga,so ngoma itaisha kwa droo,ikitokea tofauti 'nibandueni'
Mkuu kwani watapambana na club ya wapi ? JINA PLZ!!Mkuu hivi kwa mazoezi hayo mtamtoa mwarabu kweli?
Au mnadhani mnaenda kupambana na abajalo ya sinza?
Yanga Africa Yanga Afrika...
Umoja wa Mataifa.....
Mabingwa wa Tanzania na Africa, mashariki na katiii.....
Abasi Gulamali, raisi wa Yanga......
Mkuu hivi kwa mazoezi hayo mtamtoa mwarabu kweli?
Au mnadhani mnaenda kupambana na abajalo ya sinza?
Hakuna haja ya kuiombea Yanga njaa. Yanga haijawahi kupiga hatua kubwa katika michuano ya Africa. Michuano ya Afrika ina raha unapoingia walau robo fainali kwani kuna mgao fulani unatoka CAF, vinginevyo ni hasara kushiriki raundi ya awali, ya kwanza na kuishia 16 bora....
Hakuna haja ya kuiombea Yanga njaa. Yanga haijawahi kupiga hatua kubwa katika michuano ya Africa. Mfadhili amechoka na hatagombea tena! Michuano ya Afrika ina raha unapoingia walau robo fainali kwani kuna mgao fulani unatoka CAF, vinginevyo ni hasara kushiriki raundi ya awali, ya kwanza na kuishia 16 bora. Mpira ni biashara, usione watu wanauza wachezaji ukadhani hawana akili. siku anayetoa hela bure atakapochoka ndipo watu watatia akili, na ndipo watakapojua kwamba unatakiwa ushiriki michuano ya Africa hadi walau robo fainali ili uanze kurudisha fedha yako
Mkuu kwani watapambana na club ya wapi ? JINA PLZ!!
mkuu kwani watapambana na club ya wapi ? Jina plz!!
Yanga watacheza na Etoile du Sahel ya TUNISIA.Itakuwa ni weekend hii!!!.
Abanduliwe tuWe jamaa umekimbia na ahadi yetu. mi bado nakutafuta nikuonje yaani ntakutafuta hadi NIKUBANDUE HIYO BIGIJII.