Picha yangu bora 2010- Yote njaa

Picha inatafsiri nying sana hii nimejisikia majonzi ,asante jojipoji
 
sawa laki i katika maisha ni kawaida kutaabikia tonge na wanawake sasa hawagwai tena taabu za kusaka tonge kama wanaume, so pamoja na haja ya kuwezeshwa zaidi, lakini nafarijika kuona wanawake wamepuuza hizo taabu nao wameamka kupambana kiume

DU!
 
hayo ni mabaki ya samaki,kule kanda ya ziwa yanaitwa mapanki,mwanza samaki bei juu kuliko dar,arusha au sehemu yoyote hapa nchini kwetu.serekali ilisha gombana na mwandishi na mwanaharakati mmoja wa ufaransa baada yakusema watanzania wanakula makombo minofu wanauza.serekali ilipiga kelele sana alakini ukweli uko palepale mapanki ndio mlo mkuu kanda ya ziwa,fanya uchunguzi upate ukweli wa hili jambo.hiyo picha ni mabaki ya samaki waliotolewa minofu,kidumu chama cha mapinduzi.
 
Uzuri wake ni kwamba hata asipouza halali njaa, angekuwa kama wale wanaotangaza kwa vipaza sauti hapa Bongo "Sumu ya panya, kunguni, mende, sisimizi na virobotoooo" ndiyo ingekuwa noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…