Picha yangu ya harusi

Bro & sister nini mboni kufafana hivyo?bha!..

Ama Kumbe hapa familia yako Buji yote:

 
Kama wamefunga ndoa hii kanisani, Basi Mungu aonaye sirini na awabariki na kuwajazi!
Tazama, wote wameumbwa kwa sura na mfano wake!
 
Khaaa, hongereni.... na hapo mkifyatua mtoto sipati picha atafananaje ????
 
Mbona utadhani mtu na dadake...'yaani wamefanana ile mmbaya'!
 
harusi ilipendeza sana utadhani mapacha
wote huu ni uumbaji wa mola
 
Ama,... Kumbe hapa familia yako yote Buji bana??: Hapa face pasi shaka ulitoka kwa shoe shiner!. Mng'aro wa KIWI!

 
Mnapendesa saaana, Hongereni saana. Mungu awape maisha mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…