Picha yangu ya harusi

Watu wakikaa sana pamoja wanafanana, hii ndoa nadhani ilikuwa ya kukamilisha.
 
Duh hii kali nakumbuka wale jamaa MADINKA kule SUDAN ya Kusin
 
Jamani forum inatakiwa kufurahisha pia lakini hapa mmepitiliza!
 
We bujibuji umeanza tena? halafu hawa jamaa me na ke mbona kama ndugu? Anyways natumaini mtatengeneza familia yenye furaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…