Picha yangu ya leo asubuhi, hamjambo marafiki zangu?

Duh! sisi wa chapa ilale tunapita kushoto


Aahahahahaa bora upite kushoto Mkuu, usithubutu kugusa maana utanasa halafu kujinasua huwezi.....

Ukikutana na fundi wa kuzichezea chuchu za kiume, uweeeh utajikuta unatoa ukunga /unapiga ukelele wa kiume kama yule jamaa aliyelalamikiwa na wapangaji wenzake miguno anayoitoa usiku akiwa faragha na mkewe eehehehehehehee.

Kuna mengi mnayakosa...πŸ™‚.
 
Dah kumbe
 
hao wanyonyaji wenyewe hawapo mbona, hawa mabinti wa 4G watayajulia wapi hayo
 
hao wanyonyaji wenyewe hawapo mbona, hawa mabinti wa 4G watayajulia wapi hayo


Eehehehehehheee hizo ni mbinu za medani, si kila mwanamke anazijulia...

Ni kama kufinyia ndani, kuna waliokuwa hawajui wamejifunza kwa kusoma namna inatakiwa kufanywa...

Ila ukikuta yule anafahamu kushughulikia jambo kiasili na akalishika.... hata anapokunawisha maji ya kunawa mkono ile ya kutumia beseni na jagi utasema unasingwa au unakogeshwa eehehehehee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…