Picha Yangu Ya Leo Hii ijumaa

Hivi Tanzania inaizidi Uganda kwa kitu gani kwa wale mliokwishafika huko !?
 
We mwenye una mazuri yako na mapungufu yako
 
Hivi Tanzania inaizidi Uganda kwa kitu gani kwa wale mliokwishafika huko !?
Panga siku nenda Uganda, wala hata hutaona kama uko nje ya Tanzania zaidi ya lugha kuwa tofauti.
Halafu pia ingia Kenya, japo mnazungumza lugha moja, lakini lazima utajistukia kabisa kuwa hapo sio bongo.
 
Japo sijafika ila hii nakubaliana nayo Nairobi iko juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…