Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jul 3, 2023 #1 Hebu niambie ukweli jinsi ugumu wa maisha yako unavyolalamika na unayachukia maisha yako jinsi alivyokupangia mungu. Halafu uje ufananishe na huyu mtoto maisha yake jinsi yalivyo. Je muko sawa na wewe unayelalamika ovyo?
Hebu niambie ukweli jinsi ugumu wa maisha yako unavyolalamika na unayachukia maisha yako jinsi alivyokupangia mungu. Halafu uje ufananishe na huyu mtoto maisha yake jinsi yalivyo. Je muko sawa na wewe unayelalamika ovyo?
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Jul 3, 2023 #2 Hii picha nimeangalia kwa muda mrefu sana,nimetafakati vitu vingi sana aisee.
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jul 3, 2023 Thread starter #3 Zeus1 said: Hii picha nimeangalia kwa muda mrefu sana,nimetafakati vitu vingi sana aisee. Click to expand... Kuna kitu umejifunza hapo Mkuu?
Zeus1 said: Hii picha nimeangalia kwa muda mrefu sana,nimetafakati vitu vingi sana aisee. Click to expand... Kuna kitu umejifunza hapo Mkuu?
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Jul 3, 2023 #4 Bora wewe umejiajiri kwenye UGANGA 🤣🤣🤣