Picha yangu ya leo ni hii

Picha yangu ya leo ni hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
tekwa.jpg

Glori Samuel akimbeba mwanaye, Grace Kelvin (5), aliyedaiwa kutekwa nyumbani kwao Hedaru na watu wasiojulikana na baadae kukutwa eneo la Pasua Moshi alikokuwa amehifdhiwa na wasamaria wema. Kupotea kwa mtoto huyo kulisababisha taharuki Hedaru hadi kusababisha wananchi kuchoma moto kituo cha polisi.
 
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">Mtoto aliyedaiwa kutekwa huyu hapa</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4576110.jpg

</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Thursday, June 03, 2010 12:44 PM
MTOTO Grace Kelvin [5] aliyedaiwa kupotea kwa njia ya kutatanisha huyo Hedaru wilayani Same mkoani Same ameonekana maeneo ya Pasua Moshi akiwa amehifadhiwa na wasamaria wema.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Mtoto huyo alipotea majuzi na hakurudi nyumbani kwao hali iliyosababisha wazazi wake waripoti katika vituo vya polisi kwa kupotea kwa mtoto huyo.

Hali ya kupotea kwa mtoto huyo ilileta taharuki hali iliyoababisha wakazi wa maeneo hayo kuhusisha tukio hilo na lile la utekaji watoto na kuwatoa kafara katika msitu na wakazi wa eneo hilo kukerwa.

Katika hali ya wakazi hao kulihusisha moja kwa moja tukio hilo na lille la ut ekaji atoto na kuatoa kafara ilisababisha wakazi hao wa Hedaru kufika kituo cha polisi na kutaka polisi kuwaachia huru watuhumi walioshikilwa kuhusiana na tukio ili kuwaua.

Hata hivyo askari waliokuwa kituoni hapo walizidiwa nguvu na wananchi hao na wananchi hao alijichukulia maamuzi ya kuchoma kituo cha polisi na kuteketea chote kwa moto.

Mtoto huyo alionekana jana maeneo ya Pasua Moshi akiwa amehifadhiwa naw asamaria wema hata hivyo hakikujulikana mara moja alifikaje huko.

Na huyo aliyembeba ni mama yake mzazi Glory Samuel akiwa na furaha tele mara baada ya kumuona mwanae huyo aliyepotea zaidi ya siku tatu.</td></tr></tbody></table>
 
Sasa ukweli ni upi baada ya mtoto kupatikana? Watz tumezidi masuala ya ushirikina lol Na nani atakuwa responsible na mali za umaa (polisi) zilizoteketezwa na wanakijiji? Je siku za mbeleni watahitaji tena kuwa na kituo cah polisi hawa watu na je wana haki hiyo kweli?
 
The_Captive_Boy.jpg
The Captive Boy
terrified.jpg
Horrified Palestinian Boy
terror.jpg

State Terrorism
demolishedhome.jpg
Palestinian homes demolished by Israel, an everyday event
rafah.jpg
Israeli War Crimes in Rafah
34yearspic3.jpg
Palestinian child watching his demolished home
palstudents.jpg

School in Palestine
The journey starts here in Hebron,
the children starting their day going to school to be faced with a checkpoint:
Israeli soldier prevents the students from passing to school
and gives them orders to go back home
terroried.jpg
Israeli soldiers beating Palestinian child
israeligirls.jpg
Photo caption: Israeli girls write messages on a shell at a heavy artillery position near Kiryat Shmona, in northern Israel, next to the Lebanese border, Monday, July 17, 2006.(AP Photo/Sebastian Scheiner)
larabkid.jpg
Killed Lebanese children received the above messages
 
Back
Top Bottom