Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Students board a school bus at Mbagala in Dar es Salaam yesterday. The bus is one of five donated by CRDB Bank in an effort to ease the transport problems facing students in the city. (Photo: Selemani Mpochi)

hivi Tanzania hamna wanasiasa vijana,mie hiko kibabu bilal sijawa impressed nacho....si bora hata wangemchukua John Mashaka!:lie::fish2:
Ni kweli, TufanyajeHaya mabasi yanajaza sana wanafunzi ambapo ni hatari sana!
Kuhusu mabasi: hivi yanamilikiwa na nani kwa sasa? Je, wanafunzi wanalipa nauli kama kwenye daladala?
Hiyo sasa ni benki moja iliyoona eneo muhimu la kutoa huduma za jamii, hivi benki zote tulizonazo hapa kwetu kila moja ikitoa angalau mabasi mawili,tatizo la usafiri kwa wanafunzi litandelea kuwa na makali yaliyopo?Well done CRDB.
...Uwezo wa kuwa na mabasi ya wanafunzi upo kabisa kama wadau wangeshirikishwa kama hizi kampuni za simu na bia wana pesa sana....Keep it up CRDB!Nadhani si mabenki tu, hata makampuni mengine (mobile phones, hard and soft drinks, n.k)! Kwa kweli CRDB, wanastahili Big Ups!