Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
:A S-danger:Sabato Masalia
Kutoka kwa Mzee wa Sumo Blog:
Jamaa waumini wa Sabato Masalia bado wanasubiri kwenda ng'ambo kuhubiri neno la Mungu, bila passport wala nauli hii ni kambi yao iliyoko Tabata wanalala kichakani wake kwa waume na hicho ndio choo chao. Kweli mtu akiwa anashusha mambo hawezi kupigwa chabo?
**************************************************
Wadau, wenye habari za hao jamaa watuelezee. Sijaelewa nia yao. Yaani wanakaa kichakani wakitegemea ng'ambo kuhubiri neno la Mungu?
Mzizimkavu....haya mambo na hii picha mbona ni vya muda mrefu sana....sijakuelewa nia na dhumuni lako la kuweka hii picha hapa ni nini lakini nadhani kuna chembe chembe fulani za hatari unataka kuanzisha....anyway ni mtazamo wangu ila sizani kama una nia nzuri