Goodluck TZ
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 1,448
- 661
Kama 40 hiviHaizidi 100
Basi si ajifunze kwake, ampigie simu amuulize Mzee wewe pesa zako huwa unaweka wapi?..mbona sijawahi kuona umepiga nazo picha?Uyo ni mzee mengi huyu rayvanny ata majina tu yqnqtofautiana kila mtu na life style yake
Nimegundua haujawah kushika hela nyingi..Kama 40 hivi
Kila mtu na life style yake pesa anatafut yy usimpangie cha kufanya afanye show off azifungie bank yy ndo mwenye kuamua, tusitake kupangiana maisha...Basi si ajifunze kwake, ampigie simu amuulize Mzee wewe pesa zako huwa unaweka wapi?..mbona sijawahi kuona umepiga nazo picha?
Duh, unapenda league....haya bana.Kila mtu na life style yake pesa anatafut yy usimpangie cha kufanya afanye show off azifungie bank yy ndo mwenye kuamua, tusitake kupangiana maisha...
Duh, unapenda league....haya bana.
HahahahaUtoto bana, yaani Mzee mengi ukimstopisha njiani ukamsachi sijui hata kama utamkuta na laki moja mfukoni.
Oya vipi mbona unazingua babu ...tushawachoka hao.viumbe wawili kama vipi kuwe na thread maalum ya hao jamaaSawa ila mada kuu ni hii
Ndo trending ya week hiyo hatuna namna sema week inaisha leoOya vipi mbona unazingua babu ...tushawachoka hao.viumbe wawili kama vipi kuwe na thread maalum ya hao jamaa
Picha ya siku nyingi sana,kama sio miezi 3 basi 4,ila sio mbaya maana inaonekana wengi hawakuiona.