Picha:young killer akiwa na mpenzi wake ” halimaty ” wakila bata

Watoto wakali wamejaa Tz ila hawajapata nafasi ya kuonekana...
 
Huyu dogo si alijishaua kuwa hana mpango wa demu mapema. Haya mambo haya usitukane mamba kabla haujavuka mto.
 
Maskini hapo utakuta kabla hajatoka kalikua kanamsonya
 
Diamond lazima ampitie bado hajamwona.
Mark my words!

Sasa mbona mnamuogofya dogo......basi awe anamvalisha huyo demu mask, kama MJ alivyokuwa anawavalisha watoto wake...
 
tatizo hawa mashori wanapenda mitalimbo dolo, young killer atakuwa nao kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…