Picha z Redds fashion's Gala


Kwa msiomjua mke wa Michuzi ndio huyu....
duh jamaa ameoa mke ambae ni mdogo kuliko wanawe anyway kibongo bongo sio issue maana hata wazee ueropa wanaoa vibinti vyetu vidogo
 
Sidhani kama ndo mke wa kwanza kwa Michuzi...noo nakataa. Ni dhambi kama kamtelekeza Bi Mkubwa uswahilini...sina uhakika.

Mbona unataka kutoa lawama bila kuwa na ushahidi wa kutosha!!this is unfair
 



Mamamaa Jokate wapi Hashim Sabiti?? hajaja kula sikukuu ya xmas? You guys make a wonderful couple aaww...
 
lakini inaonekana ni dem sio yule bwabwa, next timeabadilishehairstyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…