picha za ajabu!

Kweli zina stajabishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mh! Mi mbona kwangu nashindwa kufungua hizo picha za ajabu??
 
mh! ngojeni kidogo!
 
Imekuwa vema hazikuonekana hapo mwanzo.They are so disturbing.How much does it cost you to put a warning ila kila mwenye kutaka kuangalia afikirie mara mbili?Aaaagggggrrrr
 
Imekuwa vema hazikuonekana hapo mwanzo.They are so disturbing.How much does it cost you to put a warning ila kila mwenye kutaka kuangalia afikirie mara mbili?Aaaagggggrrrr

mkulu si nimeandika picha za ajabu kwenye taito? acha wafuate linki tu!
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
mkulu si nimeandika picha za ajabu kwenye taito? acha wafuate linki tu!

Za ajabu si lazima ziwe disturbing bana...umeona kwenye hiyo site wenyewe walivyowasilisha ujumbe huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…