Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekamilisha ujenzi wa daraja jipya la Selander (Tanzanite) lenye urefu wa km 1.30 kwa 100% ambalo litakuwa suluhisho la changamoto ya msongamano kwa jiji la Dar Es Salaam na limeanza kutumika leo 01 Februari 2022 kwa wananchi kulitumia bila malipo.