Picha za daraja jipya la Selander

Baraka Mina

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2020
Posts
586
Reaction score
590
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekamilisha ujenzi wa daraja jipya la Selander (Tanzanite) lenye urefu wa km 1.30 kwa 100% ambalo litakuwa suluhisho la changamoto ya msongamano kwa jiji la Dar Es Salaam na limeanza kutumika leo 01 Februari 2022 kwa wananchi kulitumia bila malipo.

 
Sawa. Ila credit anapata nani? Jiji au serekali? Soon mtasikia linaitwa Samia Bridge.
 
Nchi ya kijinga sana hii , utasikia hapo wanasiasa wanavojipa ujiko as if hizi huduma jamii kuzipata ni ombi !! Wakati ni lazima[emoji57]
 
Kupita hapo ni Bure ila.lile.la.nyerere kigamboni lazima.ulipe
 
Sawa. Ila credit anapata nani? Jiji au serekali? Soon mtasikia linaitwa Samia Bridge.
Serikali kwa sababu ndiyo iliyoingia mkataba na Serikali ya Korea Kusini.

Pia mamlaka za jiji ni sehemu ya Serikali.
 
Pumzika kwa Amani JPM. Uliposema "tutakukumbuka kwa mema na sio mabaya", Hakika ulimaanisha
 
Kuna jamaa hapa anasema kwann hapo wasiweke toll ili hizo ela zikasaidie kujenga miundombinu mingne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…