mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Jun 8, 2014 #81 Jamani hela yenyewe iko wapi hizo kumikumi zimesambazwa kama mtama ,wenye hela hawapigi picha kuonyesha wanahela bali utawajua tu kuwa wana hela,kesho utasikia anatembeza bakuli ,wamuulize Mr Nice?
Jamani hela yenyewe iko wapi hizo kumikumi zimesambazwa kama mtama ,wenye hela hawapigi picha kuonyesha wanahela bali utawajua tu kuwa wana hela,kesho utasikia anatembeza bakuli ,wamuulize Mr Nice?
W WANKIE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 987 Reaction score 319 Jun 9, 2014 #82 chuchu sijaziona mkuu!