Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
aiseeeMpewa hapokonyeki.....Imekuwaje kwa hawa???
"Nlikuwepo":bolt:
Hawa washezi ndo kila siku wanaharibu wadogo zetu kwa madawa,pumbaz zao,funga/nyonga hawa pusi haraka sana.
Ndo honey moon yao hiyo msishangae sana
Hao wadogo zako ndio wanajiaribu wenyewe hawajajitambua.
Kwani madawa uwa wanalazimisha ununue